Ununuzi na delivery ya vyakula na mahitaji ya kila siku kama mboga, matunda, vyakula vya nyumbani na bidhaa muhimu — tunakuletea moja kwa moja nyumbani.
Shopping & Special Requests
Tuambie unachohitaji na mahali pa kununua — tunanunua kwa niaba yako na kukuletea kwa haraka na uhakika.
Home & Living Delivery
Delivery ya bidhaa za nyumbani kama mapambo, vifaa vya matumizi ya nyumbani, gesi na maji — huduma rahisi na salama.
Personal Care & Lifestyle
Delivery ya bidhaa za urembo na matumizi binafsi kama cosmetics na personal care items, zikiwa zimefungwa salama.
Electronics & Accessories
Pickup na delivery ya vifaa vya kielektroniki na accessories zake — kwa uangalifu na usalama wa hali ya juu.
Retail & Business Supplies
Huduma ya uhakika kwa maduka na biashara ndogo, ikijumuisha delivery ya bidhaa za rejareja na bulk orders.
Hotel & Restaurant Services
Delivery ya ratiba maalum au ya haraka kwa hoteli na migahawa — kwa mahitaji ya chakula na vifaa vya huduma.
Parcel & Shipping
Huduma ya haraka ya kusafirisha mizigo na vifurushi, office-to-office na same-day delivery.